Pages

Tuesday, July 12, 2011

........journey of life has began........!

Jana Jumatatu tarehe 11 July, 2011 binti yangu mpenzi (jina kapuni kwa sababu za kimila) ameanza safari yake muhimu ya kuandaa maisha yake ya baadae. Amesajiliwa rasmi na kuanza masomo ya Chekechea hapo GOODFAITH Nusery School, mitaa ya Kinyerezi, Dar es Salaam. Mungu mbariki mwanangu aweze kufanikiwa katika safari yake hii muhimu. AMEN....(samahani nimekosa picha zake akiwa amevaa sare za shule kwa sababu nilikuwa kazini wakati anaenda kusajiliwa)