Pages

Thursday, June 21, 2012

Asalaam Aleykhu mabibi na mabwana, poleni kwa majukumu.
Ni kitambo sasa yapata mwaka mmoja sasa, nilikuwa kimya ndani ya libeneke letu la Blog, sasa nimerudi tena kwa nguvu mpya, kuwaletea mambo motomoto.
Karibuni sana bandugu,

wasalaam

Balozi Kassanga.
                 Umri unapoenda....!

Thursday, August 25, 2011

MATUKIO KATIKA PICHA: sherehe ya Harusi ya Bwana na Bibi David Mnkande

 Swaga la kulishana keki hapo, weeeee
 Bwana harusi na best man wake
 Kama kawaida, mpambe hatakiwi kucheza mbali,

 Safari ya kuelekea kanisani
 Daaaahaaa, hivi ni kweli naiacha kambi ya ukapela.....!
 Kuingia kanisani
 Bibi harusi na maua mengine hapa
 Hawa ni maprofesa watarajiwa wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana pale Idodomya....ooohou, samahani...Dodoma
 Ndani ya nyumba, Kanisani
 Je, Bwana David unakubali kumchukua Bi Rose kuwa mke wako kwa shida na raha......!


 Hatimaye.........................
 Bi harusi, tabasamuuu muruaaaaaaaaaaaaaaa, wenye viroho pembe wanajiju
 Na huu ndio ushahidi wa hayo yote yaliyotukia
 Professors to be, Mr.Ben and Mr.Fadhil

 Na huu ndio uthibitisho wa ndoa kati ya Bwana na Bibi Mnkande




 Kata keki tule yakheeeeeee
 Mlishe bila kumuone aibu
 Wazee wa Ngwasuma walikkuwepo kutoa burudani muafaka



 Nasaha za hapa na pale
yummy....yummy.....yummy......makulaji...(bi harusi anahisi usingizi)

MATUKIO KATIKA PICHA: Sendoff party ya shemeji yangu, mke wa mdogo wangu David Mnkande

 
Mr.Ben, mpambe wa Bwana Harusi
          Mr.David Mnkande,..Bwana harusi akiwa kwenye kuweka sawa sura kwa mauzo
                                 .....process continuess.....

           hapo vipi,..........Mr. David Mnkande mwenyewe, look smart bro....big up
                in the house jameniiiiiiiii, bibi harusi na mpambe wake
                                               
                    shughuli inaendelea

                                    kitu cha Champaigne....kwa wake, kabidhi mamaaa watu wajirambeee, si ndio bhana
......ndukiii, kudadadeki,...network search kimtindo,Bwana harusi na mpambe wake wakifuatilia kinachoendelea, hamu ya kukabidhiwa jiko.....!
.........................................wenye wivu................................!(pendesha sana)
......................heeeeeeee, kamuona bhana, mchukue, wako huyo wote wote....!
.............................eeeeheheee, kawaonyeshe wapambe, kitu chako hicho mamitoooo
.........................kwishney, habari ndio hiii, jamani huyu ndio anayemdatisha Bi Rose(Bwana David)

......................................misosinga kama kawa,.......tuonane kwenye Harusi......out