Mr.Ben, mpambe wa Bwana Harusi
Mr.David Mnkande,..Bwana harusi akiwa kwenye kuweka sawa sura kwa mauzo.....process continuess.....
hapo vipi,..........Mr. David Mnkande mwenyewe, look smart bro....big up
in the house jameniiiiiiiii, bibi harusi na mpambe wake
shughuli inaendelea
kitu cha Champaigne....kwa wake, kabidhi mamaaa watu wajirambeee, si ndio bhana
......ndukiii, kudadadeki,...network search kimtindo,Bwana harusi na mpambe wake wakifuatilia kinachoendelea, hamu ya kukabidhiwa jiko.....!
.........................................wenye wivu................................!(pendesha sana)......................heeeeeeee, kamuona bhana, mchukue, wako huyo wote wote....!
.............................eeeeheheee, kawaonyeshe wapambe, kitu chako hicho mamitoooo
.........................kwishney, habari ndio hiii, jamani huyu ndio anayemdatisha Bi Rose(Bwana David)
......................................misosinga kama kawa,.......tuonane kwenye Harusi......out
No comments:
Post a Comment