Kwa muda mrefu nilikuwa nikisikia malalamiko ya Wananchi wenzangu dhidi ya huduma duni zinazotolewa na Tanesco nikawa siamini, maana tumezoea kuwa Watanzania ni watu wa kulalamika, sasa leo kwa macho yangu nimeshuhudia kile ambacho watu wengi walikuwa wakikilalamikia.
Jamani Tanesco panahitaji mabadiliko makubwa ili shirika hili liwe na tija na lifanye mambo yake kibiashara na kuwa shirika linaloiingizia Serikali faida badala ya kuwa mzigo.
Pale Tanesco kila kitu kimeoza, kuanzia customer care(jinsi mteja unavyokaribishwa) mpaka kwenye upatikanaji wa huduma yenyewe ya umeme.
Piga picha umeenda kulipia kuunganisha umeme, namaanisha wewe ni mteja mpya umelipelekea shirika pesa, sasa kinachotokea, kupata tu hilo faili lako ili uandikiwe ni kiasi gani cha pesa unatakiwa kwenda kulipa, ni mchakato kama wa masaa mawili hivi( kumbuka haupo peke yako).
Mtoa huduma wa kitengo hicho cha mafaili na kufanya makadirio ni mmoja tu ambaye anafanya kazi kwa kujisikia, pia mafaili yote ya wateja wapya bado yapo kwenye mfumo wa mgumu(manual) siyo computerised, kitu ambacho kinaifanya kazi ya kutafuta faili la mteja mmoja kuchukua muda mrefu, tofauti kama yangekuwa computerised ingekuwa kazi rahisi.(Tanesco wanahitaji kuwekeza kwenye eneo hili, uwezo wanao)
Ukifanikiwa kupata faili na kufanyiwa hayo makadirio inabidi tena ukae kwenye foleni nyingine ya kulipia, hapo unakutana na dada mwenye kisirani ambaye haoni hata umuhimu wa kumwambia mteja ni kiasi gani anatakiwa kulipia.
Zamu yako ya kulipia ikifika utaona anakutolea macho, wala hafanyi mawasiliano na wewe ambaye ni mteja kukueleza ni kiasi gani unatakiwa kulipia. Akikuona unashangaa shangaaa ndio utamjua yeye ni nani.
Kwa siku ya leo tu, kwa muda niliokaa hapo kwenye jengo la Tanesco kanda ya Ilala, nimepata hisia za kuwa kila mfanyakazi wa pale anajaribu kujenga mazingira ya kuonekana ni mtu fulani ili kuweka mazingira ya kumtisha mteja hatimaye kuwe na rushwa ya kupata huduma ambayo kimsingi ni haki ya mteja yeyote anayeingia pale kupata huduma bila ya manyanyaso wala bugudha.
Kilio changu ndio hiki jamani.
Thursday, November 25, 2010
BAKARI's STORY
Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the wine, he decides to buy pastis (a French wine that changes colour if you add water).
Bakari as usual, takes a mouthful and add water to replace what he drank However, soon after he added water the pastis became milky.
When the Boss came back and noticed it, he was sure he had managed to nail Bakari as thief!!! At that same moment Bakari realized he was in trouble and decided to go into the kitchen.
The Boss told his wife that 'Mary, you will see today, he will be obliged to acknowledge'. So he calls Bakari.
He shouted: 'Bakari!'.
Bakari answered: 'Yes, Boss'.
Boss: 'Who drank my pastis?'.
No answer.
The Boss reiterated his question: 'Who drank my wine?'Still;
No answer.
Then the Boss went to fetch Bakari from the kitchen and says to him:
You insane or what? Why when I call you, you say yes boss' but when I ask you a question you don't answer me?
Bakari retorted that 'It is that boss, when you are in the kitchen there, you don't hear anything at all, except the name.
Then to prove that Bakari lies, the Boss says to him: 'You stay beside Madam here, me I go in the kitchen, and you ask me a question '. Bakari accepted and the Boss went in the kitchen.
Bakari shouted: 'Boss'..
He answered: 'Yes, Bakari'.
Bakari continued: 'Who goes in the maid bedroom when the Madam is not here? '.
No answer.
Bakari shouted again: 'Boss, I say who made the maid pregnant?'
No answer.
Bakari shouted again (third time): 'Boss, I say who made the maid pregnant?'
The Boss returns from the kitchen running and says, Bakari; it is true, you are right. When one is in the kitchen, one does not hear anything, only the name!

Wednesday, November 24, 2010
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA
1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mathias Chikawe
Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira
2.Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia
3. Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano) Samia Suluhu
2. Ofisi ya Makamu wa Rais – (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa
4. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge): William Lukuvi
2. Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Nagu
5. Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Huruma Mkuchika
Naibu: Aggrey Mwanri
Naibu: Kassim Majaliwa
6. Wizara ya Fedha Mustapha Mkulo
Naibu: Gregory Teu
NAibu: Pereira Ame Silima
7. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha
Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki
8. Wizara ya Katiba na Sheria Celina Kombani
9. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi
10. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Mathayo David Mathayo
Naibu: Benedict Ole Nangoro
12. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Naibu: Charles Kitwanga
13. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka Naibu: Goodluck Ole Madeye
14. Wizara ya Maliasili na Utalii Ezekiel Maige
15. Wizara ya Nishati na Madini William Mganga Ngeleja 1. Adam Kigoma Malima
16. Wizara ya Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli
Naibu: Dr. Harrison Mwakyembe
17. Wizara ya Uchukuzi Omari Nundu
Naibu: Athumani Mfutakamba
18. Wizara ya Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami
Naibu: Lazaro Nyalandu
19. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
Naibu: Philipo Mulugo
20. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Hussein Mpanda
Naibu: Dr. Lucy Nkya
21. Wizara ya Kazi na Ajira Gaudensia Kabaka Makongoro Mahanga
22. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba Umi Ali Mwalimu
23. Wizara ya Habari, Vijana na Michezo Emmanuel John Nchimbi
Naibu:Dr. Fenella Mukangara
24. Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel John Sitta
Naibu Dr. Abdallah Juma Abdallah
25. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Prof. Jumanne Maghembe
Naibu: Christopher Chiza
26. Wizara ya Maji: Prof. Mark James Mwandosya
Naibu: Eng. Gerson Lwinge

MTANZANIA AMKA, MPGIE KURA PETER MSECHU
Watanzania wenzangu tuamkeni, tumpigie kura Mtanzania mwenzetu Peter Msechu ili aweze kushinda tuzo ya Tusker Project Fame.
Kwa kupiga kura tuma sms TUSKER 9 kwenda nambari 15522
BARAZA LA MAWAZIRI NDIO HILO LIMETANGAZWA
Poleni wote mliokosa kurudi kwenye Baraza jipya la Mawaziri
Monday, November 22, 2010
TUNAJARIBU
Ndugu wadau bado tupo kwenye mchakato wa kuifanya Blog hii iwe sehemu ya kujifunza na kupata mawazo mapya.Msaada wa kitaalamu unahitajika zaidi ili kuweka mambo sawa. Usisite kuweka mawazo yako juu ya nini kifanyike ili kuboresha blog hii.
Asanteni, Balozi Kassanga
Subscribe to:
Posts (Atom)