GADNA G. HABASH
Yule mtangazaji mahiri na maarufu wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa kila siku jioni kupitia radio ya CLOUDS fm, ndugu Gadna G. Habash ameamua kujiengua kwa kile alichodai kwenda kufanya shughuli nyingine za ujasilia mali.Uongozi wa Clouds fm umethibisha habari hiyo na kuahidi kwamba kesho utatoa tamko rasmi kuhusiana na suala hilo.
Juhudi zinaendelea kufanyika kumpata Gadna mwenye ili kupata maelezo zaidi juu ya shughuli za ujasilia mali alizodai anaenda kuzifanya
No comments:
Post a Comment