Pages

Tuesday, December 14, 2010

HIVI SAKATA LA HAYA MAJENGO LILIISHIA WAPI.....???

Wadau mnakumbuka haya majengo ya pale Masaki yalivyoleta utata, nani mwenye habari kuhusu hitimisho lake ilkuwaje?? Post @ fkassanga@gmail.com

No comments:

Post a Comment