Mwanakijiji wa kijiji cha Kilemera wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani akifurahia kuchota maji kutoka bombani, hii ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Chama cha Mapinduzi kufikisha maisha bora kwa kila mtanzania kwa kuhakikisha huduma muhimu kama za upatikanaji wa maji safi na salama zinawafikia wananchi pale walipo.
No comments:
Post a Comment