Pages

Tuesday, March 8, 2011

Happy Women's Day

Wanawake wote nawatakia kheri na baraka tele katika kuadhimisha siku yenu ya Wanawake Duniani. Mimi mwanamke wangu wa mwaka ni Mama Yangu mzazi, amefanya mambo mengi sana ambayo yeye kama mwanamke anastahili pongezi kubwa katika kufanikisha maisha yangu.

Happy Women's Day


the BEAUTY of TANZANIA


PEDIATRIC CLINIC AT BUGANDO MEDICAL CENTRE, MWANZA

Muonekano wa ndani wa jengo la Kliniki ya Watoto Bugando, Mwanza

NDEGE JOHN RAFIKI WA MAZINGIRA

Huyu ndio Ndege John rafiki wa mazingira, ambaye hapendi kuona uchafu wa aina yoyote umezagaa zagaa.