Wanawake wote nawatakia kheri na baraka tele katika kuadhimisha siku yenu ya Wanawake Duniani. Mimi mwanamke wangu wa mwaka ni Mama Yangu mzazi, amefanya mambo mengi sana ambayo yeye kama mwanamke anastahili pongezi kubwa katika kufanikisha maisha yangu.
Happy Women's Day
Happy Women's Day
No comments:
Post a Comment