Pages

Monday, December 20, 2010

MCHUNGAJI KIONGOZI WA MTAA WA UBUNGO MSEWE

MCHUNGAJI KIONGOZI WA MTAA WA TEMEKE, BABA JEROME NAPELA ALIKUWEPO

FUNDI WA KENCHI MAHILI SANA

WAGENI WAALIKWA

MKUU WA WILAYA YA MKURANGA, MGENI RASMI

HATIMAYE TUKAINGIA NDANI NA KUKETI TAYARI KWA IBADA

HII NDIO NYUMBA MPYA YA BWANA(KANISA)

MAANDAMANO YANAENDELEA

MAANDAMANO YANAENDELEA

IBADA YA UZINDUZI WA KANISA JIPYA-ANGLIKANA MKURANGA

Ibada ilianza kwenye kanisa la zamani kwa maandamano yaliyoelekea kanisa jipya

UZINDUZI WA KANISA JIPYA LA ANGLIKANA - MKURANGA

Jana jumapili tarehe 19 Desemba 2010 nilipata bahati ya kuwa miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana ambao walihudhuria uzinduzi wa kanisa jipya la Mtakatifu Francis wa Xsavia pale wilayani Mkuranga.
Kikubwa nilichojifunza ni moyo wa kujitolea waliounyesha waumini wa Kanisa hilo katika kufanikisha suala hili la kimaendeleo, pamoja na uchache wao lakini waliweza kufikia lengo.Pia moyo wa ujasili na uzalendo wa Mtumishi wa Mungu kiongozi wa kigango hicho ambaye kimsingi anastahili sifa za kipekee kwa kufanikisha kazi hii kubwa. Bwana awabariki wote walioshiriki katika kufanikisha jambo hilo.AMEN

Kingo amepatikana jamani,...!

Monday, December 6, 2010

WANANCHI WA KIJIJI CHA KILEMERA WAKIFURAHIA KUCHOTA MAJI SAFI


MNAOSEMA MASIHA BORA KWA KILA MTANZANIA HAYAWEZEKANI

Mwanakijiji wa kijiji cha Kilemera wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani akifurahia kuchota maji kutoka bombani, hii ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Chama cha Mapinduzi kufikisha maisha bora kwa kila mtanzania kwa kuhakikisha huduma muhimu kama  za upatikanaji wa maji safi na salama zinawafikia wananchi pale walipo.

Wednesday, December 1, 2010

LEO NI SIKU YA UKIMWI

NDUGU WATATU

BREAKING NEWS,..GADNA G.HABASH AJIEUNGA CLOUDS FM RADIO

                          GADNA G. HABASH
Yule mtangazaji mahiri na maarufu wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa kila siku jioni kupitia radio ya CLOUDS fm, ndugu Gadna G. Habash ameamua kujiengua kwa kile alichodai kwenda kufanya shughuli nyingine za ujasilia mali.Uongozi wa Clouds fm umethibisha habari hiyo na kuahidi kwamba kesho utatoa tamko rasmi kuhusiana na suala hilo.
Juhudi zinaendelea kufanyika kumpata Gadna mwenye ili kupata maelezo zaidi juu ya shughuli za ujasilia mali alizodai anaenda kuzifanya

BREAKING NEWS,..GADNA G.HABASH AJIEUNGA CLOUDS FM RADIO

Taarifa tulizozipata hivi punde zinasema kuwa,Yule mtangazaji maarufu na kipenzi cha wengi wa Kipindi cha Jahazi, Gadna G. Habashi amejiengua kutoka radio maarufu ya Clouds Fm.
Habari zaidi tutazipata hapo baadae kidogo.

WHEN CHINA WAS CHINA and NOT Chainizii

KARIBU JIJI LA TANGA

WAKATI MWINGINE UNAKUTANA NA WADAU KUJADILI MAMBO MAWILI MATATU KUHUSU MUSTAKABALI WA SOKA YA BONGO, HASWA SWALA LA KUMPA JULIO TIMU YA KILIMANJARO STARS

TUWE TUNAKULA MATUNDA KUBORESHA AFYA ZETU

HIZI NI BAADHI YA BIDHAA ZA CHINA WAKATI HUO WALIPOKUWA BADO WANA FIKRA ZA KIJAMAA